Silinde amaliza changamto ya zahanati makumbusho, sasa kuzinduliwa mwezi Novemba
Naibu waziri wa Tamisemi David Silinde ametoa mwezi mmoja na siku saba kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha kuwa wanakamilisha ujenzi wa Zahanati ya Makumbusho ili iweze kuanza kutoa huduma.