BILIONEA LAIZER APATA TENA MADINI YA BILIONI 3,WAZIRI BITEKO AFIKA
Bilionea wa kitanzania Sendeu Laizer ambaye November 2020 alipata madini ya ruby ya zaidi ya bilioni moja ameingia tena kwenye headlines Tanzania baada yakupata madini mengine ya Ruby yenye thamani ya shilingi Bilioni 3.